Softnet Solutions Ltd is proving the most reliable web hosting company in Tanzania, Kenya and Rwanda. Our services are miles above the rest as an exceptional reliable and experienced web services company. We have many years of leading experience with global businesses of all sizes and have built up an affluence of web services expertise that put down us a scratch above other web services.
Kilimo ya Nyanya
“Kwa sababu ya umuhimu wa Kilimo katika maendeleo yetu ingetegemewa kuwa Kilimo na mahitaji ya Wakulima yangekuwa ndio chanzo na kupewa kipaumbele katika utayarishaji wa mipango yote ya Uchumi wetu.Badala yake tumechukulia Kilimo kama sekta ya pembezoni au kama shughuli nyingine yoyote ya kawaida ambayo inatumiwa na sekta nyingine bila yenyewe kupewa umuhimu wowote ule…..Ni lazima sasa tuache kukipuuza Kilimo.Ni lazima tukifanye Kilimo ndio shina na mwanzo wa mipango yetu yote ya maendeleo.Kwani kwa hakika,Kilimo ndio msingi wa maendeleo yetu” – See more at: http://ugani.or.tz/#sthash.GieG8gi0.dpuf